Mungu akuzidishie na uishi miaka mingi zaidi
MAUJANJA BLOG
HABARI NA PICHA
Wednesday, March 23, 2011
Wednesday, November 11, 2009
JE HII NI SAWA?
A RULAL PRIMARY SCHOOL
A CLASS ROOM
THEN TANZANIA EMBASSY IN WASHINGTON
OFISI ZETU ZA BUNGE
NA CHA MWISHO TAZAMA MWENYEWE
Tuesday, November 3, 2009
WADAU HII JE
Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe ambaye alienda kwa mganga alirudi nyumbani kwake na kufanya mauaji ya kutisha ambayo polisi nchini Zimbabwe wanasema hayawajahi kutokea nchini humo.
Polisi walimtaja mwanaume huyo kuwa ni Elmon Mupombwa mwenye umri wa miaka 41.
Gazeti la serikali ya Zimbabwe la Sunday Mail lilisema kwamba Mupombwa aliwaua watoto wake watatu wenye umri wa miaka 11, 7 na 5 kwa kuwacharanga na shoka na pia aliwajeruhi vibaya sana watoto wake wengine wawili.
Mupombwa pia aliiua mifugo yake yote, ng'ombe watano, mbuzi 20 na kuku 17 na kisha alijinyonga mwenyewe.
Watoto wake wawili aliowajeruhi wamelazwa hospitali na hali zao ni mbaya sana.
Taarifa ya polisi ilisema kwamba Mupombwa alienda kwa mganga siku hiyo kabla ya kurudi na kuanza kufanya mauaji hayo.
Haikujulikana wazi aliambiwa nini na mganga huyo kiasi cha kuamua kufanya mauaji hayo.
Hali ngumu ya maisha nchini Zimbabwe inayotokana na kulega lega kwa siasa ya nchi hiyo, imesababisha kuongezeka kwa idadi ya watu wanaoenda kwa waganga kwa imani za kuondolewa matatizo yao na ugumu wa maisha
Tuesday, October 20, 2009
PICHA INAYOONGOZA KWA MVUTO
BABA AMUUA BINTI YAKE BAADA YA KUMPACHIKA MIMBA
Miguel Matias wa New York, Marekani alikiri mahakamani kumuua binti yake aliyekuwa na umri wa miaka 14 baada ya kumpachika mimba.
Mwili wa binti yake Ana Matias ulikutwa ukiwa umefichwa kwenye tanki la maji kwenye nyumba yao mwezi februari mwaka huu baada ya baba huyo kuamua kuwaambia ukweli polisi mauaji aliyoyafanya.
migali Matias alikamatwa februari 28 mwaka jana baada ya kumuua binti yake kwa kumnyonga akidai alifanya hivyo baada ya kumkuta akiandika mambo ya ngono kwenye kompyuta yake.
Lakini iliwachukua polisi mwaka mzima kuweza kugundua ukweli kuwa binti huyo alikuwa na mimba ya wiki 12 aliyopachikwa na baba yake.
Matias alikuwa akijulikana kwa marafiki zake na ndugu zake kwa kupenda kuwanunulia zawadi watoto wake na kuwapeleka kwenye migahawa mbali mbali.
Kumbe Matias mwenye umri wa miaka 35 alikuwa na siri zake zingine akifanya mapenzi na binti yake kwa siri.
Baada ya kukiri kosa lake mahakamani, Matias alimuomba hakimu amtupe jela kati ya miaka 30 na 50.
"Nataka nifungwe jela kati ya miaka 30 na 50, nilimuua kwa kumnyonga kwa kutumia waya wa umeme", alisema Matias.
Kesi yake inaendelea na iwapo mahakama itamuona ana hatia, Matias huenda akahukumiwa kifungo cha kati ya miaka 25 jela na kifungo cha maisha.
ME NAHISI KAMA WAMEZIDANA
APA DJ FETTY NA SALAMA......MIMI NAONA KAMA WAMEZIANA...SASA BADO SIJAJUA NANI ZAIDI....YAAANI NAANISHA MVUTO NA KAZI ZAO...
Tuesday, September 29, 2009
wadau ivi apa pana ukweli wowote?
INASEMEKANA HAWA NI WAPENZI?SINA HABARI KAMILI SASA BUT NIKIFATILIA NIATAWAJULISHA.....HUYU DADA NI OLIVIA WA G-UNITY NA HUYU MSHIKAJI NI FALLY IPUPA
Fw: Ras Makunja na Ngoma Africa band aka FFU kupiga AFRILU
The Ngoma Africa Band aka FFU! Kukiwasha cha moto kingine ndani ya
AFRILU Festival, Ludwigshafen City,Germany siku ya Ijumaa 24.7.
Kamanda Ras Makunja atakiongoza kikosi cha The Ngoma Africa Band aka FFU katika jukwaa lingine la onyesho la AFRILU .Onyesho hilo litakalo fanyika siku ya ijumaa 24.07.2009 jioni katika uwanja wa Ebert Park,mjini Ludwigshafen,huko Ujerumani,ambako washabiki wengi wanasubiri kucheza gwaride na ffu wa Ngoma Africa band.habari za uhakika zinatonya kuwa Karandinga la FFU hao linapiga misele na kwenda kwa kasi kuelekea katika maonyesho hayo!
ambapo washabiki watapata burudani ya aina yake.
Usikose kupata mziki hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica pia unaweza kuwasiliana na ffu at ngoma4u@gmail.com
Friday, September 18, 2009
DUU KWELI MAMBO YANAZIDINA..
Tolu mpya wa dunia toka nchini Uturuki anatafuta mchumba baada ya kujizolea umaarufu duniani na kuingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness akihesabika kuwa ndiye mtu mrefu kuliko watu wote waliowahi kutokea katika historia ya dunia yetu hii.
Sultan Kosen mwenye umri wa miaka 26, amemwacha kwa mbali jamaa wa China aliyekuwa akishikilia taji hilo, Bao Xishun, ambaye ana urefu mita 2.36 tu.
Kosen ana viganja vikubwa vya mikono kuliko watu wote duniani. Viganja vyake vina ukubwa wa sentimeta 27.5. Miguu yake pia imevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na ukubwa wa sentimeta 36.5.
Kosen alitambulishwa kwa dunia jana jiji London na amesema kuwa umaarufu mpya alioupata duniani utamwezesha kusafiri dunia nzima na kuweza kutengenezewa gari atakaloweza kuingia bila kujikunja kunja.
Sultan Kosen mwenye umri wa miaka 26, amemwacha kwa mbali jamaa wa China aliyekuwa akishikilia taji hilo, Bao Xishun, ambaye ana urefu mita 2.36 tu.
Kosen ana viganja vikubwa vya mikono kuliko watu wote duniani. Viganja vyake vina ukubwa wa sentimeta 27.5. Miguu yake pia imevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na ukubwa wa sentimeta 36.5.
Kosen alitambulishwa kwa dunia jana jiji London na amesema kuwa umaarufu mpya alioupata duniani utamwezesha kusafiri dunia nzima na kuweza kutengenezewa gari atakaloweza kuingia bila kujikunja kunja.
Sababu ya urefu wa Kosen ni kwamba alikuwa na tezi (uvimbe) kwenye mwili wake ambao uliharibu mfumo wa homoni zake za ukuaji na kumfanya aendelee kukua maisha yake yote, alifanyiwa operesheni na kuondolewa tezi hiyo mwaka jana na hivyo hatarefuka tena zaidi ya hapo.
Kosen alisema kuwa urefu wake ndio uliomsababishia apate tabu kupata mpenzi lakini anaamini kwa umaarufu alioupata sasa atapata mwandani wake. Wiki ijayo anaelekea Marekani kukutana na wachezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani.
"Ndoto yangu kubwa ni kuweza kuoa na kupata watoto - natafuta mchumba" alisema Kosen.
Kosen alisema kuwa urefu wake ndio uliomsababishia apate tabu kupata mpenzi lakini anaamini kwa umaarufu alioupata sasa atapata mwandani wake. Wiki ijayo anaelekea Marekani kukutana na wachezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani.
"Ndoto yangu kubwa ni kuweza kuoa na kupata watoto - natafuta mchumba" alisema Kosen.
Thursday, September 17, 2009
KWELI KWA WENZETU HAKUNA CHA KUJULIKANA
CHRISS BROWN AMEANZA KUTUMIKIA KIFUNGO CHAKE CHA NJE KWA KUFANYA KAZI ZA JAMII....AMEONEKANA AKIKATA MAJANI BAADHI YA ENEO MOJA UKO VIRGINIA...
MAJAMBAZI YAPAMBANA NA POLISI
mwanza
jana mnamo saa kumi hivi kattika kijii kimoja kinaitwa msisi.
majambazi matatu yalipambana na polisi lakini askari kwa kushirikiana
na wananchi walifanikiwa kuyauwa majambazi hayo yote, katika mapambano
hayo askari polisi alijeruhiwa vibaya na mwananchi mmoja kuuwawa.
hapo ilikuwa ni jirani na nuyumbani kwa mooja wa majambazi hao
jana mnamo saa kumi hivi kattika kijii kimoja kinaitwa msisi.
majambazi matatu yalipambana na polisi lakini askari kwa kushirikiana
na wananchi walifanikiwa kuyauwa majambazi hayo yote, katika mapambano
hayo askari polisi alijeruhiwa vibaya na mwananchi mmoja kuuwawa.
hapo ilikuwa ni jirani na nuyumbani kwa mooja wa majambazi hao
Monday, September 14, 2009
HAYA NI MAAJABU.........
Kijana Calvino Inman, 15, hutirikwa na machozi mara tatu kila siku katika vipindi tofauti tofauti ambavyo hudumu kwa takribani lisaa limoja.
Ingawa Calvino anasema kwamba hahisi maumivu yoyote wakati machozi ya damu yanapomtiririka, wakati mwingine machozi hayo huyaunguza macho yake.
Kwa mara ya kwanza hali hiyo ilipomtokea mama yake anayeitwa Tammy Mynatt alipiga simu namba 911 kuita ambulansi.
"Kitu ambacho hunikatisha tamaa ni pale anaponiangalia wakati machozi ya damu yanapomtoka na kuniuliza 'Mama je mi ndio naelekea kufariki?" alisema mama wa mtoto huyo.
Lakini baada ya kuwaona wataalamu wengi wa macho na kufanyiwa vipimo mbalimbali kama vile MRI, catscan, na UltraSound bado sababu au tiba ya kutokwa na machozi ya damu haijajulikana.
Madaktari wote waliofuatwa walisema kwamba hii ndiyo mara yao ya kwanza kuona mtu akitokwa na machozi ya damu katika miaka yao yote ya udaktari.
Kinachomsikitisha mtoto huyo ni kitendo cha wanafunzi wenzake shuleni kumtania sana na kumuita 'Mnyonya damu'.
"Sihisi maumivu yoyote wakati machozi ya damu yanapotoka, inashangaza kuona damu ikitirika badala ya majimaji" alinukuliwa akisema Rashida.
Ingawa Calvino anasema kwamba hahisi maumivu yoyote wakati machozi ya damu yanapomtiririka, wakati mwingine machozi hayo huyaunguza macho yake.
Kwa mara ya kwanza hali hiyo ilipomtokea mama yake anayeitwa Tammy Mynatt alipiga simu namba 911 kuita ambulansi.
"Kitu ambacho hunikatisha tamaa ni pale anaponiangalia wakati machozi ya damu yanapomtoka na kuniuliza 'Mama je mi ndio naelekea kufariki?" alisema mama wa mtoto huyo.
Lakini baada ya kuwaona wataalamu wengi wa macho na kufanyiwa vipimo mbalimbali kama vile MRI, catscan, na UltraSound bado sababu au tiba ya kutokwa na machozi ya damu haijajulikana.
Madaktari wote waliofuatwa walisema kwamba hii ndiyo mara yao ya kwanza kuona mtu akitokwa na machozi ya damu katika miaka yao yote ya udaktari.
Kinachomsikitisha mtoto huyo ni kitendo cha wanafunzi wenzake shuleni kumtania sana na kumuita 'Mnyonya damu'.
"Sihisi maumivu yoyote wakati machozi ya damu yanapotoka, inashangaza kuona damu ikitirika badala ya majimaji" alinukuliwa akisema Rashida.
Sunday, September 13, 2009
ADEBAYOR MMH
HUWENDA FA IKAMPA ADHABU KWA MAKOSA YAKE MAWILI AMBAYO ALIYAFANYA JUZI WAKATI MAN CITY ILIPOCHEZA NA ARSENAL.....LA KWANZA NI NA KUMPANDA NA KIATU USONI MCHEZAJI WA ARSENAL VAN PIS NA LA PILI KUSHANGILIA BAO LAKE MBELE YA MASHABIKI WAPINZANI....
ALIYEOLEWA NA MIAKA 12 AFARIKI
| Mtoto Fawziya Abdullah Youssef mwenye umri wa miaka 12 aliyekuwa ameolewa na kijana mwenye umri wa miaka 25 alifariki dunia ijumaa baada ya kupoteza damu nyingi sana wakati akijifungua. Fawziya alifariki baada ya kutumia siku tatu ndani ya leba akihangaika kujifungua mtoto ambaye alizaliwa akiwa amefariki. Fawziya alifariki kwenye hospitali ya wilaya ya al-Zahra katika jimbo la Hodeida lililopo kilomita 223 magharibi mwa mji mkuu wa Yemen, San'a. Fawziya alikuwa na umri wa miaka 11 wakati baba yake alipomuozesha kwa kijana mwenye umri wa miaka 24 anayefanya kazi kwenye mashamba nchini Saudi Arabia, alisema Ahmed al-Quraishi, mwenyekiti wa taasisi ya kutetea haki za binadamu nchini Yemen inayoitwa Siyaj. Al-Quraishi alisema kuwa aligundua kifo cha Fawziya hospitalini bila kutarajia wakati alipoenda hospitali kufanya uchunguzi kuhusiana na taarifa za watoto waliokimbia vurugu kaskazini mwa nchi hiyo. "Hili ni mojawapo ya matukio mengi kama haya yanayotokea nchini Yemen" alisema al-Quraishi. "Sababu kubwa ni ukosefu wa elimu na kuwalazimisha wasichana kuingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo". Wazazi masikini mara nyingi huwagawa mabinti zao wenye umri mdogo kwa malipo ya mahari kubwa sana. Pia suala hili huchangiwa na tamaduni za muda mrefu ambapo watoto wa kike wanapozaliwa huahidiwa kuozeshwa kwa wajomba zao kwa imani za kuwalinda na mahusiano yasiyofaa. Wanaume kuoa watoto wa kike wenye umri mdogo ni jambo la kawaida katika nchi ya Yemen ambayo ni masikini kuliko nchi zote za kiarabu na ambayo tamaduni za kikabila zinachukua nafasi kubwa katika jamii. Kwa mujibu wa takwimu za wizara inayoshughulikia masuala ya jamii nchini Yemen, karibia robo ya wanawake wa nchini Yemen huolewa kabla hawajafikisha umri wa miaka 15. Hata hivyo hakuna takwimu zinazoonyesha ni wanawake wangapi huolewa wakiwa na umri mdogo nchini humo kila mwaka. | ||
| | ||
| |
Tuesday, September 8, 2009
UKUTA WA SHULE YA ST. MARY"S WAANGUKA
WATOTO WAPATAO 22 WAJERUHIWA LAKINI KWA TAARIFA ZA JU JUU ZINASEMA KWAMBA WANAENDELEA VIZURI NA BAADHI YO WAMESHARUHUSIWA
JAMAA AJIFANANISHA NA YESU
JAMAA MMOJA AMBAYE ANAKADILIWA KUWA NA UMRI WA MIAKA 48 UKO URUSSI AMEJITANGAZA KUWA YEYE NI YESU WAPILI AMBAYE AMETUMWA NA MUNGU KUJA KUTANGAZA NENO.....
Wednesday, August 26, 2009
MMH LIVERPOOL
SINA HATA MENGI YA KUSEMA ZAIDI SANA NI KUWAPA POLE WALE WOTE MASHABIKI WA NEVER WALK ALONE
Thursday, May 14, 2009
EMINEM AMTAKA MARIAH TENA
JE KUNA UKWELI WOWOTE
Wednesday, May 13, 2009
Tuesday, March 31, 2009
Thursday, March 5, 2009
LIONEL MESSI: ANATAKA KUKAA BARCA MILELE

Lionel Messi rebuffed any talk of him joining Manchester City by stating that his main desire in football is stay with Barcelona for the rest of his career.
The Argentinean has no interest in jumping on the Citizens' bandwagon and insists that all talk of a move, especially to Real Madrid, is completely made up.In previous seasons, Messi has expressed the gratitude that he has towards Barca for the treatment he received when he was young and he has reiterated his desire to stay."If it depends only on me, I will stay at Barcelona for the rest of my career," he told Publico."The rumours are pure fantasy."Talk of problems on the pitch at Barcelona have not affected Messi's ambitions and he has made winning the Champions League the club's top priority this season."The Champions League is the most difficult and we are thinking game-to-game,” he continued. “But we will have to be able to beat anyone if we want to win it."We can beat anyone with the players we have. With players like Xavi, [Andres] Iniesta and Dani Alves all assisting, it is natural that we will score goals."
Top Ten Asian Players Of 2008

10. Ali Ashfaq (VB Sports & Maldives)
The Man of Steel was once linked to a move to Europe and although it didn’t quite happen, he hasn’t looked back. Regarded by many in South Asia as the best player in the region, the striker is improving all the time. The 23 year-old shone during Maldives’ recent South Asian Cup triumph and was named as the tournament’s MVP. He wasn't ready for Benfica before -he may be now.
9- Ahmed Ajab (Al Qadsia & Kuwait)
The most expensive player in Kuwait history has enjoyed another prolific season. This is a guy who just scores goals. The 24 year-old only made his international debut in January and hasn’t stopped scoring since.
Although Kuwait fell at the third stage of qualification for the 2010 World Cup, Ahmad scored six of the team's eight goals. He was the top scorer in the Kuwait league last season, scored three in the Asian Champions League and is on the shopping list of some of the region's big clubs.
8 –Hong Yong-jo (FC Rostov & North Korea)
It is North Korea's defence or 'The People's Rooney' Jung Tae-se that take the headlines whenever the Reds do the business on the pitch. That backline kept six clean sheets out of six third round games but it is the presence of Hong that allows the team to play the way they do. Comfortable on the ball, intelligent in possession and handy from the set piece, the Russian-based star is one of those players who seems to have more time on the ball and brings others into the game.
7– Shunsuke Nakamura (Celtic & Japan)
Not Naka's best season for the Bhoys but still pretty good nonetheless. Once again, his goals and assists helped the team to another title –though it was a close-run thing. Has struggled with niggling injuries and jetlag and rumours of a return to Japan have never been far away. It is a testament to his ability then that he still impressed.
Japan coach Takeshi Okada went to Bahrain without Nakamura, preferring to leave him in Scotland. Japan lost that game in March and Okada has not made the same mistake again.
6- Hawar Mulla Mohammad (Anorthosis Famagusta FC & Iraq)
Hawar and Iraq didn't quite reach the heights of 2007 but he was still one of the better Desert Foxes in the third round of qualification. Scoring against China and creating for others.
His year will best be remembered for becoming the first Iraqi to play and score in the UEFA Champions League. It was a breathless six games in the group stage for the Cypriots. Hawar was on the scoresheet on a wild Wednesday night in Nicosia as Anorthosis beat Panathinaikos 3-1. The Cypriots collected six points, only two less than Inter Milan. That 3-3 draw will also live long in the memory.
5 – Server Djeparov (Bunyodkor & Uzbekistan)
Was named the player of the year by the Asian Football Confederation and Djeparov certainly had a season to remember. The cultured midfielder pulled the strings for both club and country. Uzbekistan stormed through the third round of qualification in impressive fashion – scoring goals left right and centre. The final round has not, as yet, been quite so impressive but there is still time.
The Uzbek player of 2008 also shone for Bunyodkor. He led the Tashkent club to the title and to the semi-finals of the Asian Champions League. Within two weeks of becoming coach in the capital, Zico declared his belief that the 26 year-old has what it takes to succeed in Europe. He may soon get the chance with a trial at Chelsea.
4– Javad Nekounam (Osasuna & Iran)
A serious injury blighted the first quarter of 2008 but on his return the all-action midfielder showed why he had been voted the player of the year the previous season by Osasuna fans. His return to action for Iran came just in time as he helped a stuttering team through to the final round of qualification. He is, as he demonstrated against Saudi Arabia, always liable to pop up with a goal at a crucial time.
Nekounam has been doing the same of late as Osasuna struggle to improve upon a terrible start to the season. If the Pamplona club survives, you can be sure that the Iranian man will have played his part.
3 - Brett Emerton (Blackburn & Australia)
More column inches are devoted to the likes of Tim Cahill, Mark Viduka and Harry Kewell when it comes to discussing the Socceroos but Brett Emerton is as reliable a player as there is and is a coach's dream. He hardly misses a match, gets up and down the pitch in impressive fashion and even pitched in with a few vital goals in qualification. He helped Blackburn to a seventh place finished at the end of the 2007-08 season and has been one of the team's better performers in this campaign.
2 – Yasuhito Endo (Gamba Osaka & Japan)
The modest midfielder would not have imagined at the start of 2008 that he would be lauded by such figures as Sir Alex Ferguson before the year was out. The Manchester United boss paid tribute to the Japanese star before FIFA's Club World Cup and after. Endo's arrival on the world stage comes a few years after he first started getting noticed in Asia. He led Gamba Osaka to the Asian Champions League and was once again one of the best when pulling on the blue shirt of his country. He wants a move to Europe and he may just be about to get it.
1 – Park Ji Sung (Manchester United & South Korea)
It is easy to forget that Park started 2008 returning from a lengthy and serious knee injury that briefly threatened to end his career. He was better than ever when he came back and had a season that is better than any other Asian.
Not only was Park instrumental in United's charge to the Premier League title, he was man of the match against Barcelona in the UEFA Champions League semi-final and played all 360 minutes in the last four and last eight games. The 27 year-old was left out of the final but deserved his medal. He ended the year lifting the Club World Cup.
Internationally was not bad either, he took the captaincy halfway through the year and led the Taeguk Warriors to a good start in the final round of qualification.
HAYA WADAU MAMBO YA COLE HAYA
Friday, February 13, 2009
Monday, February 9, 2009
Sunday, February 8, 2009
UCC-CA5-WANAWAPA HI WADAU
Oya masela wa ca5 wanawapa hi wadu wote wa blog hii,Keny,Hemed,Swaumu,jobu,Pendo,Harry,Estah...oya kama vp fanyeni muwe mna tuma ...
Friday, October 3, 2008
MUAMKO WA UJENZI
The Ngoma Africa Band ilifunika Frankfurt City

Si wengine bali ni The Ngoma Africa Band inayoongozwa na mwanamziki nyota Ebrahim makunja aka Ras Makunja "Bw.Kichwa Ngumu,kwa mara nyingine tena iliuhakikishia ulimwengu kuwa dansi lake la bongo ni moto wa kuotea mbali,
katika onyesho kubwa la aina yake la African and Caribbean Festival lililofanyika katika viwanja vya Robestock Park,ndani ya mji wa maghorofa marefu Frankfurt,Ujerumani,
Bendi hiyo hilifanikiwa kuwatia kiwewe washabiki wa mataifa mbali mbali kwa kutumia mdundo wake ambao wenyewe wanauhita Bongo Dansi,palikuwa na pata shika za nguo kuchanika pale wake kwa waume,watoto na wakubwa,vijana na wazee walipodatishwa
hakili na mziki huo wa ngoma africa band,mdundo huo wa nyimbo za kiswahili ulifanikiwa
kupenya mpaka katika madirisha ya majumba marefu ya mji huo na kuwatoa kijasho na kuwadatisha hakili washabiki !
katika onyesho kubwa la aina yake la African and Caribbean Festival lililofanyika katika viwanja vya Robestock Park,ndani ya mji wa maghorofa marefu Frankfurt,Ujerumani,
Bendi hiyo hilifanikiwa kuwatia kiwewe washabiki wa mataifa mbali mbali kwa kutumia mdundo wake ambao wenyewe wanauhita Bongo Dansi,palikuwa na pata shika za nguo kuchanika pale wake kwa waume,watoto na wakubwa,vijana na wazee walipodatishwa
hakili na mziki huo wa ngoma africa band,mdundo huo wa nyimbo za kiswahili ulifanikiwa
kupenya mpaka katika madirisha ya majumba marefu ya mji huo na kuwatoa kijasho na kuwadatisha hakili washabiki !
Pia onyesho hilo la iana yake lilipata baraka ya wanahabari na wanahabari rasmi kutoka
Idhaa ya KISWAHILI ya Radio DEUTCHE WELLE wakiongozwa na Mtangazaji maharufu
Bi.SAUM MWASIMBA na wenziwe walikuwapo uwanjani kushudia mchaka mchaka huo
kati ya The Ngoma Africa na washabiki!
Pamoja ya kuwapo ulinzi wa kutosha hili watu lakini mziki wa Ngoma Africa uliweza
kuwatia kiwewe kuwanzia washabiki hadi walinzi(Body Guards),cha kufurahisha ni kuwa
mdundo huo haukumwacha mtu kwa tabia yao hiyo Ras Makunja na Kikosi chake ambacho kina wanamziki wachizani wa kucharaza vyombo hakina Chris-B,Said Vuai na
wengineo walifanikisha kazi hiliyokuwa ikisubiliwa na washabiki.
Hapo ijumaa 29-08-2008 Ngoma Africa watapiga Live katika onyesho lingine kubwa la
AFRIKA FESTIVAL,litakalo fanyika huko Altona, Hamburg,Ujerumani ambako nako wanasubiliwa kwa hamu na washabiki!
Jumamosi 30-08-2008 saa mbili na nusu usiku watapanda jukwaani katika onyesho lingine kubwa la wazi AFRIKA FEST litakalo fanyika katika mji KREFELD,nje kidogo ya mji wa
Koeln,ambako WATAVUNJA JUNGU,baada ya mwezi waRamadhani watakuwa wanategemea kupomoromosha nyimbo mpya kama kawaida yao,vitu hivyo vipya vitarekodiwa katika Studio(Bunge la mizengwe),Oldenburg.
Tunatarajia watatoka na nyimbo zenye vituko vipya.
Tuwatakie mafanikio mema wachizani wetu hawa Ras Makunja na Kikkosi chake The Ngoma Africa band.
Subscribe to:
Comments (Atom)







































