Tuesday, October 20, 2009

PICHA INAYOONGOZA KWA MVUTO



KATIKA MISHEMISHE ZANGU ZA MWEZI HUU NIMEVUTIWA SANA NA PICHA HII AMBAYO INACHUKUA NAFASI YA KUWA PICHA YENYE MVUTO.

1 comment:

Anonymous said...

mimi nimeipenda hii blog lakini unapo andika kwenye blog yako jaribu kuangalia speling kwasababu ukikosea hata heriúfi moja mtu anaelewa tofauti na kuna wanaojua kingerezza na wasio jua kwahiyo vizuri kucheki herufi zipo nyingi umekosea au kusahau usiwe na haraka ya kuweka kitu halafu unaweka sivyo,halafu kuna mstari upo hapa kulia ni bora uutoe ili kuwe na nafasi ya kuandika ujumbe wako vizuri kwa mfano kuhusu habari ya huyu mtoto wa miaka 12 msichana habari yake imekatikakatika herufi zimejificha na huo mstariutoe ili kuwe na nafasi ya kutosha kuandika kitu na unapo weka picha weka maelezo juu ya picha kama unavyoweka na majina pia na kitu kinacho fanyika lasivyo tutakuwa hatuelewi vyote na ni vizuri ukaweka na blog zingine ili tukiingia humu tuna chagua na blog zingine tuma links kwa wenzako waombe wkuweke kwenye list ya blog zao ili iwe rahisi kukupatakama sio jdee nisingekujua..mzoefu wa kublogua finland