
Kwa kweli walituvutia sana na walikuwa wapo juu zaidi ila ndo ivo tena mwanzo lazima uwe na mwisho,lile kundi letu la kuvunja mbavu ambalo lilikuwa likilushwa na EATV maarufu kama ZECOMEDY limesikitika kuwatangazia washabiki wa kipindi chao kuwa mkataba wao wa kuwa na EATV ndo umekwisha na sasa hatujui watafanya nini tena.
No comments:
Post a Comment