
Wadau wenzangu ni imani yangu kuwa mtakubaliana nami kuwa asilimia kubwa ya wakazi wa mijini tulitokea vijijini tena kwenye makazi ya kawaida kabisa ila wengi tunajisahau hata hatukumbuki tulikotoka mimi nimeamua kuwafahamisha wadau wenzangu mahali nilipozaliwa hukoooo...Thuji milima ya upare ;Karibuni sana
ni yule yule baba Jordan
ni yule yule baba Jordan
1 comment:
SAWA EMMANUEL NAONA UMENIKUBUSHA HOME KABISA.KESHO NAPANDA BUS NARUDI HOME.
HALAFU UNAONEKANA MTAALAM SANA MPAKA MAJINA YA HOME UNAYAJUA DUUHHHH.
POA VAKEDHIJE AAAHOOO
Post a Comment