Saturday, May 24, 2008

MZEE WA STORY TATU - JAY MO

hapa vipi wadau nisaidieni

hapa juu anaonyesha ushirikiano

hapa sijui anafanya nini?

Haya wadau leo nimetumiwa picha ya msanii huyu wa teknic,Jay mo kawaida yake huwa anakuwa kimya alafu akiludi anawashika na kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki wake kama kawa.

1 comment:

Anonymous said...

blog yako ni nzuri ila jitahidi lugha,namaanisha kiswahili fasaha.angalia sehemu za "r" na "l" pia "a" na "h".ni hayo tu.