Saturday, May 17, 2008

MIUJIZA MIPYA YAZUKA - MBEYA

Mzee huyo anayefahamika kama mganga wa kienyeji anatambulika kwa jina la Amakisye Kayuni katika wilaya ya Ileje mkoani Mbeya amebambwa na utumbo,misuli na baadhi ya nyama zinazo dhaniwa kuwa ni za binadamu,
Mkasa huo ulimkuta wakati polisi wapo kwenye msako wa kukagua waganga wasio na vibali.

2 comments:

Anonymous said...

Mwenyekiti
Mbona picha hatuioni ya huyo mzee? Ulishindwa kuipata nini?

Anonymous said...

samahani sana mkubwa kwani nuda mwingine napata habari tu