Tuesday, May 20, 2008

MASIKINI SOUTH AFRICA



Kwa masikitiko makubwa natoa habari hii ya wenyeji wa South Africa walipoamua kuwapiga vita wageni na wavamizi wa nchi yao ambao baadhi yao ni wenzetu watanzania,wageni hao wengine walichomwa moto , kupigwa vibaya na baadhi yao 22 kuuwawa.wengi wao sasa wanalala vituoni kwa kuhofia usalama wao.pitia hapa http://photos.mg.co.za/view_photo.php?pid=3469&gid=224

No comments: