


Sakata la watu wa South Africa bado linaendelea na wameshatoa tamko kwamba watu wapalamiaji waludi kwenye nchi zao,wazawa wenyewe wa uko wanalalamika kwamba wao wamekuwa wakigomea baadhi ya kazi ambazo mshahara wake ni mdogo lakini wageni wamekuwa wakizifanya tena kwa maslahi ya chini kwa iyo inasababisha kuwafanya maisha yao kuwa magumu.
3 comments:
Na wewe bwana uwe una check spelling kabla yakuweka post zako watanzania ludini (rudini) ndo nini tena?????????????
sio ludini ni rudini
unatuboa na kiswahili chako
Post a Comment