

Hi!Wazee wa kazi mpo hapo?
Hizi picha!huyu ndiye Ebrahim Makunja a.k.a Ras Ebby Makunja a.k.a Bw.Kichwa Ngumu!
mtunzi mchokozi,mwimbaji na kiongozi wa kikosi cha watoto sugu "The Ngoma Africa Band" Kabwana kichwa ngumu ketu haka! mtu wa watu!mtumishi wa wapenzi wa bongo dansi,akiwa kibaruani kwake jukwaani lazima kieleweke kitu mara nyingi uwahacha hoi wapenzi wa mziki barani ulaya kwa wa BLING!BLING ZAKE ZA Kienyeji!
Tofouti na wanamziki wengine!bling!bling zake shingoni uwavuatia watu sana wakati nyumbani wenzanke wanaukimbilia UMEREKANI fulani yeye upanda na zile za kienyeji
No comments:
Post a Comment