
Mchezaji wa club ya Chelsea ya Uingereza anayetambulika kwa jina la Joe Cole ameongea live kuwa mchezaji wa Barca ya Hispania "Messi' ni bora kuliko yule kijana wa Old Trafod 'Christiano Ronaldo"
"apa naona kuna utata"vipi mnasemaje?
Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.
2 comments:
haina ubishi messi ni kiboko hata mwenye rodard anajua hilo
kweli messi ni hatari sana,,,
Post a Comment