Thursday, May 15, 2008

HONGERA MDOGO WETU


Binafsi nimefurahishwa sana na blog yako bila shaka itakuwa bomba sana huko tuendako .

Nakutaarifu tu kuwa unao wapenzi wa kila aina hata sisi wapenzi wa gospel Music .

nakutumia picha ya kwaya ambayo mimi mwenyewe natumika kwayo kwa sasa(KIMANGA SDA CHOIR) sukuambii niko sehemu gani katika picha hii ila kadiri tunavyoendelea kuwasiliana utanitambua tu.

NI MIMI JULIUS JASTO MBWAMBO(BABA JORDAN)


MDAU WA MY BLOG YAKO

2 comments:

zemarcopolo said...

Emmanuel hongera kwa kujiunga na jamii ya wanablog.Wadau tupo wa kukutembea... kazi njema

Anonymous said...

asante mdau may 15,2888 1:51 tupo pamoja