Wednesday, May 14, 2008

"BOMU KARIBU LINALIPUKA TENA"


Orodha ya watumishi wa Serikali wanaotuhumiwa kushiriki dili lililoiwezesha kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond kuweza kuingia mkataba wa kifisadi ulioiingiza nchi katika hasara ya mabilioni ya pesa imetua ikulu kwa ajili ya kusubiri hatua za kiutawala kuchukuliwa dhidi yao.

Alisema hayo mh:waziri mkuu Mizengo Pinda

3 comments:

Unknown said...

Watz tutaishia kuandika na kusoma kwenye magazeti na blog tofauti. Ukweli kwamba viongozi wanalindana, mtu anaiba halafu anajiuzulu, anaendelea kula mali alizoiba. Kujiuzulu maana yake umekubali kosa, sasa inabidi wachukuliwe hatua na wafilisiwe mali zao, lakini waaapi! Tusubiri MOSES aje awaokoe Wadanganyika kutoka katika utawala wa wadhalimu.

Mdau,
Mzaramo

chemshabongo said...

karibu kwenye ulimwengu wa blog

Anonymous said...

asante mkuu ndo ivo tunaanza